• Be smart with smarts
  • Be smart with smarts

BUILT FOR ALL

MAJADILIANO

Jiunge na majadiliano(discussions) yanayohusu mambo mbalimbali kupitia forum yetu upate kuelimika na kutoa mawazo yako kwa wengine.

Mijadala hii imegawanywa katika sehemu mbalimbali ili kufanya utafutaji wa mada husika uwe rahisi. Chagua mada unayotaka kuanzisha majadiliano halafu andika ujumbe wako.

Kwa mada zinazohusu somo lililotolewa na mwalimu husika , mwalimu wa hilo somo ndiye atakuwa mwongozaji mkuu wa majadiliano.Na mwalimu ndiye atayekuwa na mamlaka ya kuhitimisha majadiliano. Anza KUJADILI kwa kunonyeza HAPA


Jifunze Kilakitu

Kupitia Swahili Academy utapata fursa ya kujifunza unachokitaka.Tuandikie sasa nini ungependa kujifunza.

Wanafunzi Wa Chuo

Swahili Academy itawawezesha kupata masomo mbalimbali yanayofundishwa vyuoni kama vile Programming, Networking e.t.c

Wanafunzi wa Sekondari

Kwa wanafunzi wa sekondari,Swahili Academy inafundisha masomo mbalimbali pamoja na kutoa notes bila malipo

Kwa Ajili Ya Freelancers

Tunatoa msaada mkubwa kwa wajasirimali wanaotumia internet(freelancers) kama chanzo ca kipato chao.Tunatoa Msaada wa elimu na uwezo

Mitihani na Test Kila Wiki

Swahili Academy inaendesha program ya mitihani kila wiki katika mikoa yote Tanzania.Mitihani inafanyika MASHULENI na ONLINE. Bonyeza hapa kwa maelezo zaidi.

Tumetengeza kwa Upendo

Team inayounda Swahili Academy imetengeneza software hii kwa upendo wa watanzania na watu wake.Kwa pamoja tukiamua tunaweza na tutafika mbali

Madarasa Ya Ana kwa Ana

Tunaendesha madarasa yetu kwa namna mbili, Online na Offline.Kwa sasa ofisi zetu zinapatikana mkoani Dodoma na Dar Es Salaam. Kwa maelezo zaidi kuhusu locations zetu bonyeza linki hii.

malengo yetu ni kumfikia kila mmoja wetu.Tunaamini elimu bora ni ile inayotolewa BILA MALIPO na inayomfanya mwanafunzi awe ni mwenye furaha kila siku za kusoma kwake. INTERNET imesaidia utoaji wa elimu kuwa rahisi zaidi na tunashauri WAZAZI wa-adapt hii nyia mpya ya elimu.

Tunatoa pia PROGRAM SPESHO kwa ajili ya wazazi wanaotaka ukaribu wetu zaidi na watoto wao. kama wewe ni mzazi na ungependa ujue kuhus hili tembelea ukurasa unaowahusu wazazi kwa kubonyeza LINK HII na upate maelezo zaidi.