Tunatoa somo jipya kila siku. Jifunze kwa uhuru popote pale ulipo

Masomo yamegawanywa katika vipengele vikuu vitatu.
Courses, Lessons na Tutorials.

Monthly Test @SwahiliAcademy

COURSES

Course ni mtiririko wa masomo mbalimbali(Lessons) ambayo yanahusiana. Kila kozi LAZIMA iwe na somo moja au zaidi.
Kwa mfano,Jifunze HTML ni kozi kamili. KWa kifupi Course/Kozi ni mkusanyiko wa Masomo/Lessons

ALL COURSES

LESSONS

Katika Swahili Academy , Lesson ni somo ambalo lipo ndani ya kozi fulani. Lesson LAZIMA iwe ndani ya kozi, Haijitegemei.
Mfano wa Lesson ni kama vile HTML Elements ambayo ipo ndani ya kozi/Course inayoitwa Jifunze HTML

ALL LESSONS

TUTORIALS

Fikiria TUTORIAL kama vile masomo mafupi ambayo hayahusiani na kozi maalumu. Tutorial inaweza kuwa jibu la swali la mwanafunzi alilouliza, Inaweza pia kuwa ni Quick tip/trick ambayo mwalimu anataka kuionyesha katika jambo flani n.k.

ALL TUTORIALS

Msaada wa Ziada

kama utakuwa na swali kuhusu kozi zetu au swali lolote kuhusu Swahili Academy kwa ujumla , au ungependa upate mwalimu ambae atakufundisha masomo uyatakayo privately , wasiliana nasi kupitia namba ya simu +255 763 111665 au unaweza kutuandikia kwa barua pepe kupitia info@swahiliacademy.com