Want to reach US.
Thank you for your interest. You can find our locations and contact list below.Call or email us within the specified time.
Sisi Ni Nani
The core team inayounda Swahili Academy ni kama inavyoonekana hapa chini. Wote tukiwa ni graduates from vyuo mbali mbali nje na ndani ya nchi. Fani tulizosoma na CV zetu unaweza ziona kwa kubonyeza CV link ya kila mmoja.
Tunafanya Nini
Swahili Academy inajihusisha zaidi na kutoa mafunzo mbalimbali kupitia Internet. Lakini pia tunatoa huduma zengine kama vile Web Designing, Network Installations and Configurations,E-Commerce,Tunadesign pia Logo, business card, brochures etc