UNDERSTAND LAW


Course Description

Meet Harry Henry Mwinuka , Lecturer from Iring University akikufundisha mambo mbalimbali yanayohusu sheria. Utaweza kujifunza sheria mbalimbali kupitia kozi hii kama vile Sheria ya ndoa na mirathi, Sheria ya mtandao na mambo mengine mengi.