Sarufi ya Kiswahili


Course Description

Sarufi ni mfumo na kanuni za lugha zinazomwezesha mtumiaji wa lugha kuitumia lugha husika kwa usahihi. Mfumo huo humwezesha mzungumzaji kutunga sentensi zisizo na kikomo ambazo hukubalika na wazawa wa lugha wanaoifahamu lugha hiyo barabara.  Hivyo ni dhahiri kwamba kila lugha ya mwanadamu huwa na mpangilio na sheria zinazoilinda ili kuifanya kuwa toshelevu na sanifu, na uzingatiwaji wa kanuni na taratibu hizo kwa mtumiaji humfanya na kumtambulisha kama mmilisi wa lugha hiyo.


Kozi hii anaweza kuchukua mwanafunzi yoyote wa sekondari. Wanafunzi wa Alevel ndio inawafaa zaidi.

Mtunzi wa kitabu hiki anapatikana kwa njia zifuatazo.


Anapatikana kupitia:

SIMU - +255 765 304 501

BARUA PEPE  – yusuphpius19@gmail.com
Ukurasa wa FB – Yusuph Pius Mtz Huru