Course | Jifunze Simultaneous Equations
Think of a course as a collection of Lessons compiled in one folder.Each course has Lessons
Course Description
Katika kozi hii tutaangalia Simultaneous Equations. Hii ni moja ya topic ya hesabati (mathematics) inayofundishwa shule za sekondari kidato cha pili. Mwalimu amejitahidi kueleza kwa undani kuhusu somo hili ili uweze kuifahamu topic na kutosumbuliwa tena na maswali yanayohusu topic hii.
Kama upo tayari kwa ajili ya somo , LET'S BEGIN