Course | Jifunze Quadratic Equations
Think of a course as a collection of Lessons compiled in one folder.Each course has Lessons
Course Description
Quadratic Expressions and Equations ni moja ya topics zinazowachanganya sana vijana wa sekondari hasa kidato cha pili. Katika mtiririko wa masomo haya tutajitahidi kueleza nje na ndani (ins and out) of Quadratic Expressions and Equation. Mwalimu anaassume haujui kabisa somo hili na hivyo anaelezea kuanzia mwanzo na mwisho kuanza kusolve maswali mbalimbali kwa pamoja.
Jiunge nami katika kuichambua Quadratic Equations na usisite kuuliza swali pale unapohisi nimekuacha