Jifunze Microsoft WordCourse Description

Microsoft word ni moja ya program ambazo ainatumika sana ulimwenguni kote. Program hii inatumika katika uandishi wa vitu mbalimbali kama vile barua,vitabu,kalenda na kadhalika. Katika mfululizo wa masomo haya utapata fursa ya kujifunza haya yote. Nitakufundisha kuanzia mwanzo kabisa nini unatakiwa kujua kuhusu microsoft word. Hadi kufikia mwisho wa kozi hii nataraji utakuwa na uelewa mzuri kuhusu microsoft word na namna ya kuitumia. KARIBU SANA na bonyeza somo la kwanza tuanze kujifunza kwa pamoja.


Kozi hii haina requirement maalumu kwa kuwa ni mambo ya msingi (basic stuff) unayotakiwa ujifunze kuhusu computer. Inatosha uwe na uelewa wa namna ya kuwasha na kuzima computer yako :)