Jifunze How To Create A BlogCourse Description

Katika kozi hii utajifunza namna ya kutengeneza blog mbalimbali. Tutakufundisha baadhi ya softwares au programs zinazotumika kutengeneza blog. Tutajifunza kutumia Blogger ambayo inamilikiwa na Google. Tutajifunza pia kutumia CMS (Content Management Systems) kama vile Wordpress , Joomla,Drupal na nyengine nyingi.

Kama uko tayari ongozana nami kuelekea somo la kwanza