Course | Jifunze Bootstrap
Think of a course as a collection of Lessons compiled in one folder.Each course has Lessons
Course Description
Bootstrap ni miongoni mwa framework maarufu ambazo zinatumika kutengeza websites. Bootstrap ni HTML,CSS na Javascript framework ambayo inafanya website yako iwe RESPONSIVE, na iweze kuonekana vizuri kwa watumiaji wa simu za mkononi.
Framework hii ni BURe , kwa maana haiuzwi.Unaweza kudownload kupitia link hii [ BOOTSTRAP ]
Katika mfululizo wa kozi hii tutajifunza Bootstrap ni nini na vipi unaweza kuitumia katika website zako zijazo.
Ili uweze kuchukua hii kozi unatakiwa atleast uwe na knowledge ya kutumia HTML na CSS. Kama haujui kabisa kutumia HTML na CSS ni vizuri kama ukianza kujifunza hizo hapa Swahili Academy. Nitaambatanisha link itayokuwezesha kusoma hizo kozi kabla hujaanza kozi hii. Javascript si lazima uwe ni mtumiaji mahiri(advanced user) sana ili uweze kuianaza hii kozi. Kama una knowledge japo kidogo ya javascript inatosha kuanza hii kozi.