IJUE SHERIA


Course Description

Kutana na Mhadhiri wa chuo kikuu Iringa (Iringa University) Harry Henry Mwinuka akikufundisha mambo mbalimbali yanayohusu sheria. Utaweza kujifunza sheria mbalimbali kupitia kozi hii kama vile Sheria ya ndoa na mirathi, Sheria ya mtandao na mambo mengine mengi.