How to create wordpress website


Course Description

Katika kozi hii utajifunza kutengeneza website kwa kutumia wordpress. Mwalimu amejitahidi kueleza na kuonyesha kitu kwa vitendo kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Ili uwe na uwezo wa kuchukuakozi hii unatakiwa uwe na ujuzi mdogo tu kuhusu matumizi ya computer (computer basics ). Si lazima ujuze kuprogram au kuandika kodi (writing codes). minimum requirement unatakiwa uwe na uwezo wa atleast kufungua email.