Database Normalization


Course Description

Katika mtiririko wa Kozi hii mwalimu Bakari Sheghembe amejitahidi kueleza kwa kina yote unayptakiwa kuyajua kuhusu Database Normalization. Kwa kifupi Database Ni katika teknik nzuri sana zitazoongeza uimara (efficiency) wa database yako. Ungana na mwalimu katika somo la kwanza upate kujifunza zaidi.

Karibu.